WASHINDI WA WAKISHUA TWENZETU QATAR NA Hisense WIKI YA PILI NA YA TATU WAPATIKANA

 Na Mwandishi Wetu. • SASA ZIMEBAKIA TIKETI 29 na vifurushi vya vifaa vya nyumbani 24 kutoka Hisense.  Oktoba  21, 2022,  Kampuni inayoongoza Tanzania katika kuhakikisha mtanzia anaishi maisha ya kidijitali Tigo Tanzania, kupitia Promosheni yake ya WAKISHUA TWENZETU QATAR na Hisense kwa kushirikiana na kampuni ya HISENSE wametoa tiketi 19 za kwenda Qatar kushuhudia kombe